MAJAMBAZIWAWILI WAUWA JIJINI MWANZA
WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni
majambazi wameuawa na wananchi mkoani Mwanza wakati wakijaribu kuiba
katika kituo cha mafuta cha GBP.
Akizungunzumza
na mwandishi wetu, shuhuda mmoja ambaye alikuwa eneo la tukio hilo alisema
kuwa majambazi hao walifika katika kituo hicho cha mafuta wakitaka
kuiba.
No comments:
Post a Comment