MAJANGA: RANGE ROVER YACHOMWA MOTO KISA WIVU WA MAPENZI
Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi wake
aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika kwenye
gari hilo , Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa akisema
kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake zako
ndani ya gari , tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....
Majanga!!!
No comments:
Post a Comment