Pages

Pages

Sunday, August 25, 2013

PENZI LA ROSE NDAUKA NA RAPPER WA TNG HADHARANI

   Muigizaji Rose Ndauka yuko ndani ya penzi zito la rapper toka kundi la TNG,rapper huyo anaejulikana kwa jina la Chiwaman.
 Haya yalibainishwa jana live katika kpindi cha Masala Jam cha Magic fm,Msanii huyo katika moja ya vituo vya kurushia matangazo jijini Dar,baada ya msanii huyo wa bongoflava kutamka waziwazi kuwa yuko katika wimbi la mapenzi mazito toka kwa Rose Ndauka,ndipo nae Ndauka alisikikika Live akionyesha hisia zake juu ya chekibob huyo baada ya kuvutiwa waya na Dj Q aliekuwa akongoza kipindi hiko.
  Chuwaman "i love rose Ndauka" gafla neno hili lilimtoka ndipo kutaka kujua undani wa neno hilo ikiwa mdada huyo ni mtu anaejulikana sana hapa town na imekuwaje rapper huyo kadumbukia kmapenzi kwa ndauka kizalizali.
 Kisa kamili ni wameanza penzi lao baada ya Rose kushirikishwa katika wimbo ya kundi lao(TNG).
 "Hey beybii i love you too,(akijibiwa chuwaman).. nimeamua kupiga simu mwenyewe radio nisibitishe kuwa Chuwaman ni mpenzi wangu" aliongea kwa sauti ya mahaba Rose.
  Kilichofata Dj huyo hakuwa na la kuuliza tena sababu mtoto mzuri kashamzimia chekibob huyo muimba bongoflava na kwa sasa ni wapenzi.

No comments:

Post a Comment