Pages

Pages

Tuesday, August 27, 2013

POLISI YAKAMATA MAJAMBAZI 180, KUSHIRIKIANA NA VODACOM KUPUNGUZA UHALIFU.

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akionesha bastola 2 walizozikamata pamoja na kueleza kuwa wamefanikiwa kuwakamata jumla ya majambazi 180 ndani ya muda wa wiki moja.
Kamanda Kova akionesha kifaa kilichodhaniwa kuwa bomu baada ya kudondoka karibu na kanisa la KKKT Kijitonyamana jijini Dar es Salaam.
 Mtabiri Mwandamizi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Bwana Augustine Kanemba akielezea namna kifaa kilichodhaniwa kuwa bomu kinachoitwa Radio Sound kinavyotumika kufanya kazi kwenye shughuli za anga, kushoto ni Kamanda Kova.
Mkuu wa Ukuzaji Biashara Mpesa, Bwana Jackson Kiswaga  akieleza ni namna gani Vodacom itashirikiana na Polisi Kanda Maalum ili kuzuia utapeli unaofanywa kwa njia za mtandao wa Vodacom.

No comments:

Post a Comment