Pages

Pages

Saturday, August 24, 2013

TUNDAMANI AKANUSHA SKENDO YA KUTIMKA NA BUKTA KUWAKWEPA POLISI KISA DENI

 
  Msanii Tundaman akanusha uvumi kuwa alikimbia na kibukta baada ya kufatwa na polisi nyumbani kwake baada ya kudaiwa alikuwa akidaiwa mkwnja kama laki nane.
  "Haya ni mambo ya kushangaza sana mimi namiliki Benz itakuwaje nishindwe kulipa deni la laki nane " Tundaman aliongea.
  Kauli hii ailitoa wakati akifanya exclusive Enterview na Dj q wa Magic fm katika kipindi cha masala jam ambapo alikanusha kwa kusema hiyo ni habari ya kizushi na haina ukweli wowote.

No comments:

Post a Comment