BASI LA LIVAI EXPRESS LAPATA AJALI MBAYA
Basi la abiria la livai linalofanya safari zake Kutoka Dar es salaam
kwenda nachingwea limepata ajali eneo la Mkuranga Mkoa wa Pwani na
kuumia vibaya sehemu ya mbele hadi sasa haijathibitishwa kifo chochote
kutokea.
No comments:
Post a Comment