Pages

Pages

Saturday, September 14, 2013

BDAY YA OMMY DIMPOZ NA USIKU WA KUTOKUKUNJA GOTI ILIVYOJILI

Siku ya jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii Ommy Dimpoz na birthday party ilifanyika pande za Elements Club. 
Wasanii mbalimbali kama Mwana FA, Fid Q, Shaa na Mpenzi wake Master J waliweza kuudhuria na kuumpa company mzee wa Poz kwa Poz siku ya jana. 
 CLICK OLDER POST KWA HABARI ZAIDI

No comments:

Post a Comment