Pages

Pages

Monday, September 23, 2013

DJ VECHA ALMANUSRA APOTEZE UHAI WAKE KWA AJALI YA GARI

 Habari zilizotufikia ni kwamba Dj Vencha alipata ajali katika usiku wa kuamkia leo akiwa safarini,chanzo cha habari kinasema kuwa chanzo cha ajali ni Dj huyo alikuwa mendo kasi na pombe iliukuwa Tilalila.
 KWA HABARI ZAIDI BOFYA OLDER POSTS
Dj Vencha amepata ajiri mbaya ya gari usiku wa kuamkia leo. kwa mujibu wa mashahidi wa tukio hilo walioona kilichotokea wanasema Dj Vencha alikuwa katika mwendo kasi vile vile alikuwa amelewa sana. Lakini tunashukuru maana kanusulika katika ajal hiyo
- See more at: http://shiladeux.blogspot.nl/2013/09/dj-vencha-apata-ajali-mbaya-gari.html#sthash.KimTQOcQ.dpuf

No comments:

Post a Comment