Mama wa miduara ya Kibongofleva,Shilole akiwa na madensa wake
wakitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta
2013,ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Sehemu ya umati wa watu. Mkali mwingine wa hip hop (bongofleva),Ney wa Mitego akikamua
jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013,kwenye
uwanja wa Sokoine,mjini Mbeya.
Rich Mavoko na skwadi lake wakilishambulia jukwaa.
Shilole akiimba jukwaani. Wasanii mahiri katika miondoko ya hip hop,Stamina na Young Killer
wakilishambulia jukwaa la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa
Sokoine usiku huu.
No comments:
Post a Comment