Pages

Pages

Thursday, September 26, 2013

RAYUU AKANUSHA KUCHOROPOA MIMBA


 Hivi karibuni zilienea habari za chini chini kuwa muigizaji wa filamu nchini  maarufu kwa  jina  la  Rayuu zikidai  kuwa  ametoa mimba  kienyeji   na  sasa  yuko  kitandani  angali  akiuguza  maumivu...
Habari hizo zilimfikia  mpekuzi  wetu   wa  kitengo  maalumu  cha  UMBEA na kuamua kumtafuta Rayuu ili atoe ufafanuzi wa issue hiyo. 

Katika  utetezi wake, mrembo  huyo  alizikana  taarifa  hizo    na  kudai  kuwa yeye hana  historia  ya  kuchoropoa  mimba..Kilichomfanya  augue  ni  maradhi  ya  kawaida  na  si  kutoa  mimba.

No comments:

Post a Comment