Pages

Pages

Friday, September 6, 2013

SHINDANO LA TANZANIA TOP MODEL LAZINDULIWA


1Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam jana na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi, Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania Top Model, na kulia ni Bw. Khamsin.
  2 
Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania TOP Model Jackson Kalikumtima akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge. 4 
Wanamitindo mbalimbali wakipita mbele ya wageni waalikwa wakatik wa uzinduzi huo 5 6 7 8Wanamitindo hao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo 9 
Wadau wakipata picha 10 Wadau mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo 
MC Duble A akifafanua jambo kabla ya Asia Idarous kuzindua shindano hilo 12 
Baadhi ya wanakamati wakijitambulisha 13 Wadau wakifuatilia 14
Wadau wakifuatilia matukio katika uzinduzi huo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA

No comments:

Post a Comment