Pages

Pages

Monday, September 2, 2013

ZITTO KABWE NA DIVA HAPATOSHI...NI MTITI

Diva ametweet ujumbe kwa Mh. Zitto Kabwe akionesha kuushanga uamuzi wake wa kuitangaza tour hiyo hadharani na kwamba hiyo ni idea yake kwa kuwa yeye ndiye wa kwanza kukaa na kampuni ya Kigoma All Stars na kuzungumza nao kuhusu idea hiyo.
@zittokabwe Leka Dutigite East africa Tour. This is my idea na nilikaa na kampuni yako kuzungumza hili, … http://t.co/bAM7FuIib7
— Diva (@DivaTheBawse) August 30, 2013
Hiyo ni moja ya tweet nyingi za Diva za kudai haki yake juu ya wazo lililozaa ziara hiyo ambayo Zitto alisema itaanzia Kigali Rwanda na kumalizikia Dar es salaam kuanzia November hadi December 2013.
Katika Tweet nyingine Diva amesema ana vielelezo vyote vinavyothibitisha kuwa idea hiyo ni yake zikiwemo barua pepe alizokuwa akiwatumia, na kwamba tayari ameshaongea na Zitto ‘privately’ lakini mheshimiwa anamletea siasa.
Hizi ni baadhi ya tweet hizo zilizoandikwa na Diva

“ @zittokabwe you guys needs to be professional. How can you still my idea, my peace of mind and kwenda public bila kunihusisha? Are u that smart?”
“ I told @zittokabwe to give out credits where its due and ameona haitakuwa sawa, sitaki pesa. No, ukweli
“ I started all this and mkurugenzi wake anajua, so as far as hatakuwa wazi kutoa credits sitakaa kimya this time @zittokabwe”
“ I told him 5minutes zilizopita very privately that I don’t need money I need my credits kakataa , its my thing.”
“ Nimeongea na private ananiletea siasa , in my idea, I stand for what’s right. He is my role model , I respect him but hii ni reality”
“My dad is a huge fan of zitto , My Dad is my hero, he taught me zamani, money ain’t a thing, Appreciation is”
“This is the 2nd time, ya Tanga pia and sijafaidika anything , acting smart RT @tsuyotshi: @DivaTheBawse @zittokabwe Girl power!!!pole sana”
“I told @zittokabwe to give out credits where its due and ameona haitakuwa sawa, sitaki pesa. No, ukwel”
“I have the emails and evidence in this. You don’t walk away with this, never on earth. “
“ He wanted all this, terms and conditions alizivunja. I did it the right away. No hate, Ni haki ya msingi.”
“ I’m the female version of Zitto Kabwe, he made me this way. Forever thankful, very confident, I’m realist just like him”
“ Mila na desturi za kitanzania, you say Thank You, I really Appreciate and you did well. That’s all”
“They owe me a word Thank you, They will never walk away with a word thank you, That’s a favour. Bhasi, thank u”
Katika twitter za Diva kitu kikubwa alichoonekana kukihitaji katika swala hilo sio pesa bali ni ‘credit’ na shukrani tu akiwa kama mtu aliyetoa wazo hilo kwa mujibu wake

No comments:

Post a Comment