Pages
▼
Pages
▼
Thursday, October 10, 2013
KISANGA KISANGANI BLAZA: DIRECTOR WA FILAMU AFUMWA NA MKE WA MTU AKIMROMOTE
Mume akionesha chupi ya mkewe.
Msanii
chipukizi wa filamu ambae ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la
Remina Rufyagira" Mwimbe" akificha sura yake kukwepa kamera za
mapapalazi.
Hapa
ofisa wa polisi ambae ilidaiwa toka kitio cha polisi Hananasifu
kilichopo Kinondoni akimsimamia msanii huyo kuvaa nguo safari ya
kuelekea kituoni.
Mwimbe akiwa haamini kilichotokea huku machozi yakimtoka kwa wingi na kujuta.
Kulia kijana ambae ilidaiwa ni shemeji na Mwimbe akimuuliza maswali shemejie huyo.
NICAS na Mke huyo wa mtu wakielekea kituno huku nyuma wananchi walioshuhudia tukio hilo.
Mwenye mke aliyefahamika kwa jina la Abdula Sanga akiongea na simu kuwajuza familia ya mchumbaake kuhusu tukio hilo.
No comments:
Post a Comment