Pages

Pages

Saturday, October 26, 2013

KISANGA KISANGANI MDADA: MUIMBA MYIMBO ZA INJILI ATENGWA BAADA YA PICHA ZAKE TATA KUVUJA MTANDAONI

Mwimbaji wa nyimbo za injili toka nchini Nigeria  ajulikanaye  kwa  jina  la  Maheeda  amejikuta  akitengwa  na  kanisa  baada  ya  picha  zake  za  uchi  kuvuja….
Taarifa  zinadai  kwamba kabla  ya  kuanza  kuimba  nyimbo  za  dini, mrembo  huyo  alikuwa  akijihusisha  na  mziki  wa  kidunia ambao  kwa  tanzania  unajulikana  kwa  jina  la  Bongo Fleva.

No comments:

Post a Comment