Pages

Pages

Wednesday, October 2, 2013

MSANII MARK MALICK SIMBA AZIKWA

 Moja ya wasanii ambae walikuwa pamoja kwenye kundi la Wateule...Mchizi Mox
Kaburi ambalo msanii Mark Malick alizikwa jana huko Yombo kwa Abiola.
 Msanii huyo MacMalick alifariki juzi kutokana na miguu kujaa maji.Kwa mujibu wa familia yake msanii huyo hajaacha mke wala mtoto.Baadhi ya wasanii na maproduza waliofanya nae kazi kama Lamar wa Fishcrab,Mchizi Mox,Daz Baba na Enrico wa Sound Crafters walikuwepo kwenye mazishi hayo.

No comments:

Post a Comment