Pages

Pages

Wednesday, October 2, 2013

PENNY ANANA MAZITO SIKU YA BDAY YA DIAMOND PLATNUMZ

  Juu ni ujumbe aliouandika mpenzi wa staa wa Bongofleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mungilwa ‘Penny’ kwa Diamond katika siku yake ya kuzaliwa. Penny ameandika ujumbe huo pamoja na picha hapo juu katika akaunti yake ya Instagram muda mfupi uliopita.

No comments:

Post a Comment