Pages

Pages

Monday, October 7, 2013

TID APIGWA KIBUTI NA DEMU WAKE

Leo asubuhi nimekutana na hii Massage ya Mwanamuziki wa Bongo Flava TID kwenye Ukurasa wake wa Facebook ikisema "I am very sad to tell u guys that ..........am single again my girl just left me
Akimanisha kuwa ninasikitika kuwaambia kuwa mimi ni single tena msichana wangu ameniacha...
Watu mbali mbali wame comment kumpa moyo na pole.

No comments:

Post a Comment