Pages

Pages

Monday, October 7, 2013

VIJANA 11 WAKAMATWA WAKIJIFUNZA MAFUNZO YA UGAIDI

Kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara, Zelotte Steven, akionyesha waandishi wa habari CD zenye taarifa za vikundi vya kigaidi vya Al Qaeda na Al Shaabab, vilivyokamatwa mkoani humo. Vijana 11 wamekamtwa kuhusiana na CD hizo. NI Al Shababu,Mauaji ya Osama bin Laden ,Zindukeni Zanzibar ,Kuandaamajeshi  Mauji ya idd Amin ,mogadishu pamoja mapanga 2 visu 2,Tochi dvd player vyakula sola panel kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa mtwara leo kwa wandishi wa habar.
baadhi ya vifaa walivyokutwa navyo  mapanga vissu tochi na kadhaa.

No comments:

Post a Comment