Pages

Pages

Thursday, October 3, 2013

YALIOJILI GHASIA ZA WANAFUNZI HUKO MBAGALA BAADA YA MMOJA WAO KUAWA

wakazi wakiwa na mabango kuashiria kutaka matuta baada ya kutokea kwa ajali iliyosababishwa kifo cha mwanafunzi wa shule kufariki leo
polisi wa usalamam akiwatuliza wananchi walioshikwa na asira mbagalaleo
badhi ya watuhumiwa walioshikwa kwa ghasi za leo huko mbagala baada ya gari la mchanga kumgonga mwanafdunzi na kufariki leo asubuhi
baadhi ya wakazi awakiwa wameweka mawe kuzuiia magari yasipite baada ya mwanafunzi kugongwa na kufariki leo mbagala

No comments:

Post a Comment