Pages

Pages

Tuesday, October 8, 2013

YALIOJILI MAZISHI YA BABA MZAZI WA 20%

Nyumba ya baba mzazi na msanii huyo

 

                   Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
Msanii 20 Percent na ndugu zake wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake mzazi mzee Kinzasa
Abas Kinzasa kwa jina usanii anaitwa 20 percent akieleza jambo kandokando ya kaburi la  Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga
Marehemu mzee Kinzasa akiombewa dua baada ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele
Mzee akieleza jambo kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent aliyefariki siku ya Jumapili na kuzikwa nyumbani kwake kwenye kijiji cha Kimanzichana
Mwenyekiti wa mtaa wa Kimanzichana akimkabidhi mtunza pesa, pesa alizopewa na wananchi kwa ajili ya rambirambi
Mtunza pesa akieleza kiasi cha pesa zilizopatikana baada ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika msibani hapo  kutoa rambirambi zao

No comments:

Post a Comment