Pages

Pages

Saturday, October 12, 2013

YALIOJILI USAILI WA TANZANIA NEXT HANDSOME MAN 2013

 
   Usaili wa kumsaka kijana mtanashati ulifanyika jana katika ukumbi wa maraha club Bilicanas,ambapo models sita waliingia katika top ten na wengine wanne wakiendelea kusakwa.
    Fainali za mashindano haya yatafanyika club Bilcanas Nov 1 ,usikose kutizama Unique entertainment blog kwa habari zaidi.
IMEDHAMINIWA NA:REDBUL,BREEZER,CLUB BILCANAS,ROBY ONE FASHIONs,POP-UP COLLECTION,A.F.R CLOTHING LINE na UNIQUE ENTERTAINMENT BLOG.

   Shindano hili linaratibiwa na Angels Entertainment ltd. 
 
                KWA HABARI ZAIDI BOFYA OLDER POSTS

No comments:

Post a Comment