Pages

Pages

Monday, October 7, 2013

YALIOJILI UZINDUZI ZANZIBAR FASHION WEEK

Mmoja wa wanamitindo waliohudhuria katika uzinduzi wa wiki ya maonesho ya Zanzibar Fashion Show, yatakayofanyika Zanzibar Oktoba 25-27 akionyesha moja ya mavazi katika onyesho lililofanyika jijini Dar es Salaam,  Tanzania.
Baadhi ya wanamitindo wakionyesha mavazi wakati wa uzinduzi rasmi wa onyesho la Zanzibar Fashion Week yatakayofanyika Zanzibar Oktoba 25-27 akionyesha moja ya mavazi katika onyesho lililofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.

No comments:

Post a Comment