Pages

Pages

Sunday, November 17, 2013

KISANGA KISANGANI BLAZA: MWIZI APEWA MKONG'OTO WA NGUVU


Mwizi huyo akishushiwa kibano na raia.
...Akidhibitiwa asikimbie.
...Akijitetea baada ya kipondo.
...Akiwa amekalishwa chini kusikilizia maamuzi.
KIJANA mmoja jana jioni alinusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kuiba sanduku la kuhifadhia spana katika gereji moja iliyopo eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment