Pages

Pages

Friday, November 8, 2013

makamuzi ya skylight band ndani thai village

IMG_2038
Kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Mary Lucos, Aneth Kushaba AK47 na Joniko Flower....Kikosi kazi cha Skylight Band kikitoa burudani kwenye Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_2097
Mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga na burudani tamu ya Skylight.
IMG_2077
Utamu wa nyimbo za Skylight Band unapokolea lazima ushike kichwa kama picha inavyoonyesha.
IMG_2079
Skylight Band wakilisongesha.
IMG_2088
Mashabiki wa Skylight Band wakizungusha mduara.....Mambo pwani wa mbele aende nyuma na wa nyuma aende mbele.
IMG_2105
Sam Mapenzi wa Skylight Band akichizika na shabiki wake.
IMG_2066
Mambo ya bondeni kwa Madiba yalihusika pia.....ni mwendo wa burudani ya kukata na shoka njoo ujionee mwenyewe leo pale Thai Village.
IMG_2116
Mmoja wa mashabiki wa Skylight Band akionyesha ufundi wake wa kusakata Sebene la Skylight Band na mwishowe alijishindia Pesa taslimu pamoja na complimentary za kumwaga....Kama na wewe unajua kusebeneka njoo leo utuonyeshe pengine bahati yaweza kuwa yao.
IMG_2110
Digna na mwimbaji mpya wa Skylight Band....
IMG_2069
Mary Lucos na Digna wakishow love.
IMG_2058
Aneth Kushaba AK47 akiwa backstage na kipaji kipya cha Skylight Band...Unataka kumjua jina lake na kuona uwezo wake? Njoo Thai Village leo ushuhudie kwa macho yako.

No comments:

Post a Comment