Pages

Pages

Tuesday, November 12, 2013

WAALIMU WA KUIGIZA NA DANCE WATEMBELEA KAMBI YA TOP MODEL 2013

 Dr.Cheni akitoa semina kwa washiriki wa shindano la Tanzania Top model 2013 kuhusiana na vipaji vya kuigiza kwa washiriki hao.
Tukio hili limetokea leo katika Hoteli ya JB Belmont.
Msanni maarufu Chiki akitoa maelezo kwa washiriki namna kuigiza na mbinu mbadala za kubeba uhusika halisi katika tasnia ya uigizaji.
Jackson Kalikumtima na Boy George.
Mwalimu wa danceBad spencer akitoa vionjo vya dance kwa washiriki wa shindano la Tanzania Top model 2013.

Chezea kuigiza wewe..apana chezea...hapa mshiriki akionesha namna ya kuigiza kana kwmba katishwa na kitu hivi...
 
 
 

No comments:

Post a Comment