.....MSANII SHAA AFUNGUKA KUHUSU PENZI LAKE NA MASTER J....
Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari
ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili
(master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu
wawili huwa inahusu wao wenyewe wawili ila sio mtu watatu.
Na kwakuwa
mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na
mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa...
No comments:
Post a Comment