Pages

Pages

Thursday, December 5, 2013

SUZA Yatiliana Saini na Kampuni ya Nishati ya Statoil ya Norway


Vice-Chancellor Prof. Idris Rai. aakitiliana saini na Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Statoil ya Norway,Mr. Knut Henrik Dalland, makubaliano ya kutowa Taaluma ya Kuwajengea Uwezo, katika maswala ya Nishati,Uhandisi na Mazingira, makubaliano hayo yamefanyika katika Ofisi za Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Tunguu.


Vice Chancellor Prof. Idris Rai na Mkurugenzi Mkaazi wa Statoil Mr. Knut Henrik, wakibadilishana mikataba baada ya kusaini.




No comments:

Post a Comment