UNIQUE MODEL 2012, REWIND
MSHINDI wa Unique
model 2012 Catherine Masumbigana akiwa na watoto wagongwa katika
hospitali ya CCBRT iliyopo msasani jijini Dar es salaam,Catherini
alipata fulsa ya kuongea na watoto hao kwa kuwafariji,kuwaonesha upendo
na kuwapa zawadi mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kazi za kijamii katika
taji lake.
Mtoto huyu akiwa na majeraha ya kuungua kwa moto.
Unique mode Catherine akishow love kwa kabebii.
USAILI
No comments:
Post a Comment