Pages

Pages

Tuesday, December 10, 2013

WAHAMIAJI HARAMU 56 TOKA ETHIOPIA WATIWA MBARONI


Wahamiaji haramu 56 kutoka Ethiopia wametiwa mbaroni na jeshi la polisii nchini Tanzania,wahamiaji hao walikamatiwa katika kata ya Ruvu kijijiji cha kajiungeni wilaya ya same mkoani Kilimanjaro ambapo walikuwa wamesondokwa kwenye lori aina ya fuso lenye usajili T 188.

No comments:

Post a Comment