Pages

Pages

Thursday, May 22, 2014

ajali mbaya ya roli yatokea korogwe leo


Ajali imetokea muda si mrefu eneo la Mtonga Korogwe. Majeruhi 1 na wengine wapo salama. Tuwahurumie walio pata changamoto hii, tusiwaongezee majonzi kwa kuwaibia cement yao!

No comments:

Post a Comment