Pages

Pages

Saturday, May 17, 2014

AUNT EZEKIELNYAMIHELA ATUNZA MILIONI SHUGHURINI

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam ususani wakazi wa ilala na vitongoji vyake picha na 

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti .


Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti 

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam ususani wakazi wa ilala na vitongoji vyake

Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekielwa pili kushoto na wapambe wake wakienderea kutunza


Baadhi ya wake wa wanamziki wa bendi ya msondo ngoma wakishudia shughuli hiyo picha 

Lucy bandawe nae alikuwepo

watu waliodhulia


wake wa wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakiwa katika picha ya pamoja 


lucy bandawe


waalikwa


wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza


wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza


wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza.

No comments:

Post a Comment