Pages

Pages

Friday, May 23, 2014

BIBI MCHAWI ANASWA NA UNGO WANGO WAKE



Haya maajabu kweli! Huyu mzee alidondoka toka juu baada ya kuchoka kuruka kama ndege.
Mtu mmoja aitwaye  Chike ametoa ushahidi kwamba aliona  ndege watatu wakipaa angani na baada ya muda wawili wakaanza kupigana kitu kilichopelekea ndegwe mmoja kudondoka na kubadilika kikongwe um wonae hapa juu. 

Chike anasema mzee huyo aliumia sana baada ya kudondoka kwani mkono wake mmoja wa mbele uligusa waya wa umeme akiwa anadondoka.

 Baada ya mzee huyo kukamatwa na watu wenye hasira kali aliweza kukukiri kwamba yeye ni mchawi na alikuwa na wenzake ambao walimwacha baada ya yeye kudondoka ,anasema walikuwa mkutanoni nchini Nigeria na walipomaliza walianza safari kurudi makwao.

Kikongwe huyu alisema safari yakurudi haikufanikiwa kwani usiku mzima walijikuta wanazunguka Lagosi, na anasema alidondoka kwasababu alichoka kuruka

No comments:

Post a Comment