Pages

Pages

Thursday, May 29, 2014

CHALZ BABA ATOBOA SIRI: SAJENT HAKUSTAILI KUOLEWA NA MIMI

BVCC
RAIS wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ hakustahili kuwa mkewe licha ya kwamba walizaa naye mtoto mmoja.
Akizungumza hivi karibuni, Chaz Baba alisemaSajent ni mwanamke mzuri lakini hana vigezo vya kuolewa na yeye kwani wote ni maarufu.
“Nilikuwa nampenda sana Sajent ila nilishindwa kumuoa kutokana na umaarufu wake ambao ulimnyima sifa ya kuolewa na mimi maana wote ni mastaa ingekuwa shida huko mbeleni,” alisema Chaz Baba.

No comments:

Post a Comment