Pages

Pages

Saturday, May 17, 2014

DIAMOND PLATNUM,SAUTI SOUL WATAMBA KUTOKA KIFUA MBELE TUZO ZA MTV


 Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond’akiibu maswali ya waandishi wa habari katika,mkutano huo ulifanyika jana usiku katika club ya usiki  Bilcanas,


 Picha ya pamoja ya wasanii Sauti soul,Diamond na Mi casa.


  Vanessa Mdee (kushoto), Nomuzi Mabe (kulia), wakikitoa maelezo kwa  mashabiki wa muziki kuhusina na mchakato wa show hizo.


  Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano.  Kundi la Mi Casa likitumbuiza jukwaani.  Diamond akitoa burudani.
 
 mashabiki na waandishi wa habari wakijitahidi kpata picha tofautitofauti.

No comments:

Post a Comment