Pages

Pages

Thursday, May 29, 2014

MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA

 
Mmiliki wa club ya soka ya Manchester United Malcolm Glazer alieinunua club hiyo toka mwaka 2005, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 huku akiacha mke, watoto sita na wajukuu kumi na nne. Glazer aliyekua akiishi Palm Beach Florida Marekani, amekua akiugua kwa miaka kadhaa hivi sasa na biashara zake kama club ya Manchester United zimekua zikiendeshwa na familia yake. Screen Shot 2014-05-28 at 11.38.55 PM Siku ya jana May 28 2014 ni mwaka mmoja umetimia toka afariki staa wa bongofleva Albert Mangweha ambapo leo hii dunia imepata misiba miwili mikubwa ambapo mmoja ni wa Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou pamoja na Malcom Glazer.

No comments:

Post a Comment