Pages

Pages

Saturday, May 31, 2014

MWILI WA MAREHEMU GEORGR TYSON WAWASILI JIJINI DAR

IMG_4263Rapper AY aliungana na watu wengine waliokuwa karibu na muongozaji wa filamu George Tyson, kufanikisha kusafirishwa kwa mwili wake kutoka hospitali ya mkoa wa Morogoro kuletwa jijini Dar es Salaam. 

George Tyson alifariki jana kwa ajali ya gari. Mwili wake umeletwa jijini Dar es Salaam na utafikishwa kwenye hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni na huku msiba ukifanyika nyumbani kwa marehemu maeneo ya Bahari Beach.
IMG_4257
IMG_4275
IMG_4276
IMG_4277
IMG_4294
IMG_4296
IMG_4297
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.30 AM

No comments:

Post a Comment