Pages

Pages

Saturday, May 17, 2014

NYUMBA NNE ZATEKETEA KWA MOTO MANZESE HII LEO

  KWA Habari za hivi punde ni kwamba maeneo ya manzese darajani karibia na bank ya advans yasemekana kuna nyumba 4 zinaendelea kuteketea na moto mda huu, mpaka dakika hii chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, but stay tune soon tutawajuza habari kamili kuhisiana na moto huo.

No comments:

Post a Comment