PHD HEMED ATANGAZA KUTAKA KUOA
Hemedy PHD , sukari wa warembo au unaweza kumuita handsome boy sasa
yuko tayari kuwa baba baada ya ya kuongea na vibe akisema amechoka na
usumbufu wa warembo na sasa yuko tayari kuwa na mtu mmoja tu kwani haoni
jipya bali usumbufu na ufujaji wa pesa. Hemedy anafunga ndoa next year
on february kama kila kitu kitaenda sawa kama ilivyopangwa.Mrembo
anayemuoa anaitwa Momo , mrembo huyo mwenye muonekano wa super model
yupo tayari kuishi na Drama King wa Bongo.
No comments:
Post a Comment