Pages

Pages

Monday, May 19, 2014

SIMANZI: BALOZI WA TOGO NCHINI NIGERIA AFARIKI DUNIA NA MPENZIWE. KWA AJALI YA GARI

  Kwa habari zilizotufikia,Balozi wa Togo nchini Nigeria amefariki dunia akiwa na mpenzi wake"kimada" ndani ya gari waliopatia ajali.
  Inasemekana marehemu hao walikuwa wameenda 'Club' kujirusha kisha umauti huo uliwapata  wakati wakirudi nyumbani.
 Gari hilo likapata ajali ya kuingia baharini na ndiyo ukawa mwisho wa maisha ya wawili hao.. 
 Chanzo cha ajali hajijafahamika kwa haraka mpaka tunaenda mitamboni.

No comments:

Post a Comment