Pages

Pages

Sunday, May 18, 2014

SIRI YAFICHUKA JINSI WATO WANAVYOIPIBIWA NA KUPOTEA


Mkazi wa Kyela mkoani Mbeya, Mboka Mwakikagile (20) akiwa na mtoto wake Godluck Mwangosi katika Hospitali ya Rufaa Meta ya jijini Mbeya baada ya polisi kumkamata mtu anayedaiwa kumwiba mtoto huyo. Picha ya Maktaba
Dar es Salaam. Kwa muda mrefu kumekuwapo na taarifa za watoto kupotea katika mazingira tofauti, huku baadhi yao wakipatikana na kuunganishwa tena na wazazi wao, lakini wengine hawajaonekana hadi leo.
Wakati wazazi na walezi wa watoto hao wakiwa katika kiza kinene wasijue nini cha kufanya, serikali na wadau wanaoshughulikia masuala ya watoto bado hawajapata jibu la swali;

No comments:

Post a Comment