XGIRLFRIEND WA DAVIDO AFANANISHWA NA KIM K
Huyu
anaitwa Nish Kards, kutoka Ghana alikuwa mpenzi wa mwanamziki maarufu
kutoka Nigeria, Davido, Kupitia ukurasa wake INSTAGRAM, followers wake
wamekuwa wakimfananisha na Kim Kardashian na kumuita The Ghana’s Kim
Kardashian.
No comments:
Post a Comment