Pages
(Move to ...)
▼
Pages
(Move to ...)
▼
Wednesday, June 4, 2014
GARI YAGONGA OFISI ZA BENKI YA CRDB-MOROGORO
Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro.
Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD .
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment