Pages

Pages

Friday, June 6, 2014

MPENZI WA RAPPER YOUNG KILLER AFANYA YAKE SWIMMING POOL

10413849_787707607915341_956535762_n
Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper wa ‘Mrs Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines kwa picha zake kwenye mtandao wa Instagram. Na sasa ameamua kuwaonesha followers wake umbo lake lililomfanya apate cheo cha ‘Umrs Supastaa’ kutoka kwa Young Killer. Jionee.

10375814_1499301123619385_1653411892_n
10448930_456017737875052_170186291_n

No comments:

Post a Comment