Video hii
ambayo ni moja kati ya sherehe za kutimiza miaka 50 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar ilizinduliwa rasmi na Rais wa Jamuhuri ya
muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete uwanja wa Jamuhuri Dodoma (104.4
Clouds FM) Jumamosi ya June 14 2014.
No comments:
Post a Comment