Pages

Pages

Tuesday, June 3, 2014

RAY C ATOA ELIMU DHIDI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWA VIJANA MASHULENI


RAY C ambae ni mwanzilisha na mkurugenzi wa RAY C FOUNDATION...kwakile anacho kifanya katika kuelimisha jamii juu ya madhara ya MADAWA YA KULEVYA.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM leo  ameshare nasi harakati zake katika shule ya secondary ya Kinondoni  Musli....Jana alikuwa Makongo.

No comments:

Post a Comment