Pages

Pages

Tuesday, June 24, 2014

ROSE MUHANDO AMTUPIA VIJEMBE FLORA MBASHA..!!

 
 "Mwanamke mbaya ni asiye na akili, asiyemtii mmewe,asiyemsikiliza mmewe,asiyemtunza mmewe,anayemsema mmewe,mwenye kiburi,mwenye majivuno,mwenye majisifu, huringia uzuri wake huyu ni mpumbavu ni sawa na pete ya dhahabu puani mwa.nguruwe".....Rose mhando.

No comments:

Post a Comment