Pages

Pages

Saturday, September 27, 2014

MASHINDANO YA VIPAJI VYA WANAWAKE

 Wacheza shoo walioandaliwa kutoa burudani wakionesha uwezo waowakati wa mashindano ya vipaji vya wanawake (WOMEN TALENT SYSTEM) ilifanyika Septemba 25,2014 katika Hotel ya JB BELMONT jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio akionesha uwezo wake wakuvunja vibao kwakutumia mkono.
 Profesa  Martina Maurizio akionesha uwezo kwa jiwe lilokuwa limewekwa kifuani kwake na kunjwa kwakutumia nyundo.
Wacheza shoo walioandaliwa kutoa burudani wakionesha uwezo wao.
KWA HABARI ZAIDI BOFYA OLDER POSTS

No comments:

Post a Comment