Pages

Pages

Tuesday, September 2, 2014

muimbaji Lady Jay Dee ateuliwa kuwa balozi wa kampeni ya uzazi wa Mpango


 Lady Jay Dee ateuliwa kuwa balozi wa kampeni ya uzazi wa Mpango
Hospitali ya Marie Stopes imemchagua Lady Jay Dee kuwa balozi wa kampeni ya kuhamasisha uzazi wa mpango na kupinga mimba za utotoni inayoitwa ‘Chagua Maisha’.
Akiongea na TBC, Lady Jay Dee amesema kuwa anaweza kufikisha ujumbe kwa jamii kwa kuimba nyimbo ambazo zitasaidia kuwahamasisha wananchi kuchagua jinsi ya kuishi kwa kutumia uzazi wa mpango.

No comments:

Post a Comment