Pages

Pages

Thursday, June 25, 2015

SHINDANO LA MISS KILIMANJARO AMBASSADOR LAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR

Shindano la kumsaka mrembo kutoka mkoa wa Kilimanjaro ambaye atakua akiuwakilisha mkoa huo kwenye shughuli mbali mbali za kijamii limezinduliwa mapema June 24
Shindani hilo litakua na jumla ya washiriki 20 ambao watawania taji hilo JULAI 24 mwaka huu kwenye ukumbi wa  kili home resort
akizumgumza na waandishi wa habari jana June 24 kwenye hotel ya colosseum iliyopo mnazi mmoja jijini Dar es salaam
Akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi wa shindano hilo jacline chuwa alisema " sisi kama waandaji wa shindano hili la kumtafuta miss Kilimanjaro au mwakilishi wa mkoa wa Kilimanjaro ,nia na madhumuni ni ,kwanza kabisa ni kutangaza vivutio vilivyopo katika mkoa wa Kilimanjaro kama vile ChemChem ya maji moto iliyopo kule Boma,
Mlima Kilimanjaro na vivutio vingi vingine ,Mimi kama miss Kilimanjaro niliepita huko nyuma nimeona ngoja niandae tamasha hili lililosajiliwa maalum kwa mkoa wa Kilimanjaro na ambalo halihusiani na mashindano yoyote ya umiss ..." Alisema
   

No comments:

Post a Comment