Pages

Pages

Monday, July 20, 2015

MISS KILIMANJARO AMBASSADOR YATOA MSAADA KWA FAMILIA ZA VIJIJI VYA RAU NA ULU


 Mkurugenzi wa Shindano la Miss Kiliamnjaro Ambassador,Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwa udhamini wa kampuni ya Dream for Life iliyopo mkoani Kilimanjaro.
 Warembo wa Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiangalia wenzao wanaochuana katika mchezo wa kuvuta kamba,kukimbia na kucheza muziki,ambapo warembo hao waliwashinda wafanyakazi wa Dream for Life.
 Warembo wanaowania taji la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakishindana kuvuta kamba na Wafanyakazi wa kampuni ya Dream for life.
 Shughuli hii ya utoaji msaada kwa wanakiji iliambatana na burudani pamoja kucheza muziki,shughuli hii ilifanyika nje kidgo ya mji wa Moshi.
 Wanahabari wakifanya mahojiano na Baadhi ya warembo wa Shindano hilo baada ya kumalizika kwa shughuli hiyo,fainali za shindano hilo zitafanyika ijumaa hii katika ukumbi wa Kili home Moshi mjini.

Warembo wakipanda Basi maalumu kwaajili ya shughuli za shindano ambalo hulitumia kwa shughuli za kutembelea sehemu mbakimbali,hii nimoja kati ya kazi za kijamii zinazoendelea kufanywa na warembo hao mkoani humo.

No comments:

Post a Comment